Pretty kumfunika Kidoa

Pretty kumfunika Kidoa

Bongoshaz
0

MUUZA nyago mwenye umbo matata Bongo, Suzy Richard ‘Pretty Kindy’ amejitapa kumfunika, msanii wa filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kutokana na figa lake matata na kusema mrembo huyo hamzidi kwa chochote.

Akipiga stori na Stori Star Mix, Pretty alisema, watu wengi wamekuwa wakipenda kumshindanisha na mwanadada huyo kutokana na shepu yake na urefu ambapo Kidoa pia ana vigezo hivyo, jambo linalomkera kwani anaamini bishosti huyo hamfuniki kwa chochote. “Imekuwa hadi kero watu wakiniona wanaanza

MSANII kubishana kati yangu na Kidoa nani mkali, hili jambo limenichosha natamani hata ungeandaliwa mpambano tuone nani ataibuka kidedea, najikubali shepu yangu si ya kitoto,”alisema huku Kidoa naye alipotafutwa alijitapa kwamba yeye ndo zaidi.

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)