“Nakumbuka mara ya kwanza wakati nataka kufanya naye kolabo nilimtumia e-mail ikawa pending tu ndio nilipoamua kufanya mawasiliano kwa njia ya simu, lakini kolabo yetu ilikamilika mwezi Septemba,” alisema Ed Sheeran. Ukiachana na Beyonce, msanii mwingine ambaye kuwasiliana naye sio rahisi kabisa ni Kanye West.
Beyonce kubadili Email kila wiki..............
December 07, 2017
0