-->

Type something and hit enter

By On


Mapya yaibuka! Mrembo huyo kwa jina la Sophie(27) ameibuka kueleza aibu iliyompata baada ya ya kutumia vibrator kujiridhisha kimapenzi kisha ikakwama mwilini 😲😲


Sophie kutoka England amesema usiku wa manane wakati akiendelea na starehe zake hizo ghafla vibrator husika ikaenda mbali ikiwa bado imewashwa(on)


Sophie amesema alipatwa na muhaho wa aina yake kwani vibrator husika ilikuwa inatoa sauti akawa anazihisi hadi kwenye pingili za uti wake wa mgongo





Ameongeza kwamba ilibidi apige namba maalum kuomba msaada lakini alipoambiwa watu wa afya huduma za dharura wanakuja akakataa sababu ilikuwa usiku mwingi hata angeenda hospitali bado watu walikuwa wamelala kusingekuwa na huduma ya kueleweka


Amesema alijaribu kulala hivyo hivyo akiwa na vibrator mwilini lakini ikawa shida kupata usingizi lakini baadaye alipitiwa na usingizi na alipoamka vibrator husika ilikuwa bado mwilini ila imezima(off) akadhani labda betri imeisha





Hospitali alipofika walimpiga X-ray kama picha inavyoonesha hapo. Hospitali walijaribu kuitoa vibrator husika mara mbili kwa kutumia mkono lakini ilishindikana ikabidi afanyiwe upasuaji ndio ikatolewa


Alipoamka baada ya kufanyiwa upasuaji, aliiona vibrator husika mezani katika beseni na alipojaribu kuiwasha ikawaka tena 😲


Kwasasa amekoma baada ya kupatwa na kisanga hicho kilichomfanya aponee chupuchupu

Weka maoni yako hapa