Umuhimu wa kitunguu swaumu katika kutibu magonjwa ya kuku

Umuhimu wa kitunguu swaumu katika kutibu magonjwa ya kuku

CT Tiptz
0

 

Kitunguu swaumu pamoja kuwa ni dawa ambazo humsaidia mwanadamu kuweza kutibu magonjwa mbalimbali lakini kinatajwa kuweza kutibu magonjwa mbalimbali ya wanyama wengine ikiwemo kuku. 

Zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini  na mjini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii tataelezea jinsi  kitunguu swaumu kinavyoweza ugonjwa wa Homa ya Matumbo “Fowl Typhoid”  katika ufugaji wa kuku. 

Namna ya kuandaa dawa hii. 

Chukua robo kilo ya vitunguu swaumu 

Toa maganda. 

Kisha twanga 

Changanya na maji kiasi cha lita moja 

Chuja na kuwapa maji yake  kuku wako kwa muda wa juma moja. 

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)