Mkurugezi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Ya Mpanda anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa ya kuomba kujaza nafasi tano (05) za ajira ya Watendaji wa Vijiji Daraja la III kwa ajira ya masharti ya kudumu na malipo ya Uzeeni
Download hapa:
TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA- Copy.pdf