-->

Type something and hit enter

On

wana Dada anaetoka katika tasnia ya uatanga ambae pia anatangaza katika kipindi cha Ala za roho cha cloud's fm "DIVA THE BOWSE" ametangaza lasmi kuwa leo anatambulisha wimbo wake unaokwenda kwa jina la WAAMBIE ambao ndio umebeba jina la album yake. Ameyaweka wazi hayo kupitia katika ukurasa wake wa instagram.

soma hapo chini........
Diva wenu leo anaachia #waambie Akiwa ni mwenye tabasamu tosha na furaha tele...amani na matumaini. Nimefanya album hii nikiwa insp na @majorlazer @siamusic @calvinharris @allanwalker_ Ambao humiliki nyimbo video na album za kutosha bila wao sauti zao kusikika...Keeping the good music alive... Ninamshukuru Mungu kwa album hii kali ya rnb! Nime invest sana in this ..... dedication yangu ni kazi na kazi mwaka 2018 na uwe wenye amani furaha na upendo ...na mafanikio tele! Namshukuru Mungu kuniweka kunifanya niwe strong ever as a woman kwa kufanya kazi ambayo kulala ni masaa 4 tu ..me n studio studio na mimi. Waandishi wa nyimbo @tommyflavour @marioo_tz kwa kuchukua muda kuweka melody na nyimbo kuziandikia kila kitu ...kwa wasanii waliorekod ngoma zao nakunipatia kwa mapenzi yao na supporting nikifanyacho... Asante kwa ibrah nation, damian soul, joseline na wengine wengi ..... Kaligraph yea ... otuck, runtown ... n etc ....Amina... Asante @abbah_process kwa production kali!!... Yan list ya wasanii imekamilika. Alhamdulilah mwezi wa 2 itakuwa mtandaoni kwako album nzima ikiwa na wasanii wa ndani na nje ya nchi wakiwemo brick n lace .... S/o kwa wasanii wote wakubwa waliomo humu! #AlaZaRoho
A post shared by 🇹🇿Diva 🇸🇩 (@divatheebawse) on

Weka maoni yako hapa