-->

Type something and hit enter

On
Rapper YG bhana anashangaa kuona Eminem anapewa heshima kubwa kwa kumdiss Donald Trump wakati yeye ndie alikuwa mwanzilishi wa kumtukana Live Donald Trump kwa wimbo wake ule wenye F kibao.

Kama utambuka Jumanne hii rapper Eminem alitamba na Freestyle yake kwenye Cypher ya BET HIPHOP AWARDS 2017 kwa kumdiss Donald Trump bila kuacha kitu, Sasa YG amefunguka kupitia kurasa yake ya Twitter na kudai kwamba yeye ndio mtu wa kwanza kumchana Donald Trump lakini anashangaa kwanini yeye hajapata Attention kubwa kama ilivyo Eminem.

Weka maoni yako hapa