Sugu ambaye ni Mkurugenzi wa Hotel Desderia Co Ltd amebainisha hayo kupitia mtandao wa Instagram ambapo katika kipindi hicho amelenga kutoa ajira zisizopungua 5,000.
Rapper turned the Employer # This year I will employ about 50 of my fellow citizens… My goal is to employ not less than 5,000 in the coming 10 years, Inshallah… #DEIWAKA #JONGWE #MVMPMarch mwaka jana Sugu aliweka wazi kuanza kwa ujenzi wa Hoteli yake yenye hadhi ya nyota tatu chini ya kampuni ya ukandarasi ya Home Africa Investment Co Ltd ya China.